Kikomering

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikomering ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakomering kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikomering imehesabiwa kuwa watu 470,000 ambao 20,000 wao waliishi mjini Jakarta. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikomering iko katika kundi la Kilampung.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikomering kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.