Kikomba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikomba ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakomba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikomba imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikomba iko katika kundi la Kihuon.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikomba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.