Kikola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikola (pia Kimarlasi au Kiwarilau) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakola kwenye kisiwa cha Kola na vinginevyo vya Aru-Kaskazini. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikola imehesabiwa kuwa watu 7400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikola iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.