Kikol (PNG)
Mandhari
Kikol ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakol. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikol imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikol haihusiani na lugha nyingine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikol kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikol Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikol katika Glottolog
- lugha ya Kikol kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikol (PNG) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |