Kikol (Kamerun)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikol ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakol. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kikol imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikol iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikol (Kamerun) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.