Kikokata
Mandhari
Kikokata (au Kikukarta) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakokata katika jimbo la Australia Kusini. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikokata 19 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikokata kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikokata kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikokata Archived 15 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikokata katika Glottolog
- lugha ya Kikokata katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikokata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |