Kikoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikoi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wakoi. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikoi imehesabiwa kuwa watu 1270. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoi iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.