Kikoho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikoho ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wakoho. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikoho imehesabiwa kuwa watu 166,000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoho iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.