Kikioko
Mandhari
Kikioko ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakioko kwenye kisiwa cha Buton. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikioko imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikioko iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikioko kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikioko Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikioko katika Glottolog
- lugha ya Kikioko kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikioko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |