Kikinabatangan cha Juu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikinabantangan ya Juu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wakinabantangan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikinabantangan ya Juu imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikinabantangan ya Juu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikinabatangan cha Juu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.