Kikhua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhua ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Vietnam inayozungumzwa na Wakhua. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikhua imehesabiwa kuwa watu 2000 nchini Laos na 3000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhua iko katika kundi la Kikatuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.