Kikhao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhao ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wakhao. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikhao imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhao iko katika kundi la Kikhmuiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.