Kikhamyang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhamyang ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakhamyang. Mwaka wa 2003, idadi ya wasemaji wa Kikhamyang imehesabiwa kuwa watu 50 tu,yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhamyang iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhamyang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.