Kikhaling
Mandhari
Kikhaling ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wakhaling. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikhaling nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 14,500. Idadi ya wasemaji nchini Uhindi haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhaling iko katika kundi la Kikiranti.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikhaling kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikhaling Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikhaling katika Glottolog
- lugha ya Kikhaling kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhaling kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |