Kikereho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikereho (pia Kikeriau-Punan) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakereho kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikereho imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikereho iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikereho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.