Nenda kwa yaliyomo

Kikepo'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikepo' (pia Kikepoq) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakepo' kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikepo' imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikepo' iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikepo' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.