Kikenati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikenati ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakenati. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikenati imehesabiwa kuwa watu 950. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikenati iko katika kundi la Kikainantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikenati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.