Kikembayan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikembayan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakembayan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikembayan imehesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikembayan iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikembayan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.