Kikedang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikedang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakedang kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kikedang imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikedang iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikedang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.