Kike'o
Mandhari
Kike'o ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wake'o kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kike'o imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kike'o iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kike'o kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kike'o Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kike'o katika Glottolog
- lugha ya Kike'o kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kike'o kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |