Kikayupulau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikayupulau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakayupulau kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikayupulau imehesabiwa kuwa watu 50 tu. Wakayupulau wote wengine walikuwa wameacha lugha yao, maana yake Kikayupulau imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayupulau iko katika kundi la Kijayapura.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikayupulau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.