Kikayardild
Mandhari
Kikayardild ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wakayardild katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikayardild 23 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayardild kiko katika kundi la Kitangiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikayardild kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikayardild Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikayardild katika Glottolog
- lugha ya Kikayardild katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikayardild kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |