Kikayan cha Wahau
Mandhari
Kikayan ya Wahau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakayan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikayan ya Wahau imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayan ya Wahau iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikayan ya Wahau kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikayan ya Wahau Archived 4 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikayan ya Wahau katika Glottolog
- lugha ya Kikayan ya Wahau kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikayan cha Wahau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |