Kikayan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikayan (au Kikaian) ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakayan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikayan imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayan iko katika kundi la Kiottilien.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikayan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.