Kikate
Mandhari
Kikâte ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakâte. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikâte imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikâte iko katika kundi la Kihuon.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikâte kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikâte Archived 4 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikâte katika Glottolog
- lugha ya Kikâte kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |