Kikaruwali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaruwali (pia Kimithaka) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakaruwali katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikaruwali ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaruwali kiko katika kundi la Kikarniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaruwali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.