Kikarranga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kikarranga (kizambarau)

Kikarranga ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakarranga katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikarranga ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarranga kiko katika kundi kundi la Kingumbin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarranga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.