Kikariyarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikariyarra kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakariyarra katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikariyarra ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikariyarra kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikariyarra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.