Kikarey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikarey (pia Kikrei) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakarey kwenye kisiwa cha Tarangan. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikarey imehesabiwa kuwa watu 610 tu. Hata hivyo lugha ya Kikarey hutumiwa na jamii nzima. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarey iko katika kundi la Kiaru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarey kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.