Kikaptiau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaptiau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaptiau kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaptiau imehesabiwa kuwa watu 230 tu. Kwa vile Wakaptiau wengi wameanza kuacha lugha yao, Kikaptiau iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaptiau iko katika kundi la Kisarmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaptiau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.