Kikanyok

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikanyok ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakanyok. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikanyok imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikanyok iko katika kundi la L30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanyok kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.