Kikanu
Mandhari
Kikanu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakanu. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kikanu imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikanu iko katika kundi la D20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikanu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikanu Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikanu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/khx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikanu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |