Kikanjari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikanjari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakanjari. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikanjari imehesabiwa kuwa watu 91,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikanjari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanjari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.