Kikaningi
Mandhari
Kikaningi ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wakaningi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikaningi imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaningi iko katika kundi la B60.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikaningi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaningi Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikaningi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kzo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaningi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |