Kikaluli
Mandhari
Kikaluli ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakaluli. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kikaluli imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaluli iko katika kundi la Kibosavi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikaluli kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaluli Archived 11 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikaluli katika Glottolog
- lugha ya Kikaluli kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaluli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |