Kikalkutung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikalkutung (pia Kigalgadungu) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakalkutung katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikalkutung, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalkutung kiko katika kundi la Kigalgadungiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalkutung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.