Kikalanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikalanga ni lugha ya Kibantu nchini Zimbabwe inayozungumzwa na Wakalanga. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikalanga nchini Zimbabwe imehesabiwa kuwa watu 700,000. Pia kuna wasemaji 150,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikalanga iko katika kundi la S10.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.