Nenda kwa yaliyomo

Kikajaman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikajaman ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wakajaman. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikajaman imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikajaman iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikajaman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.