Kikaibobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaibobo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaibobo kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikaibobo imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Lugha ya Kikaibobo imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaibobo iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaibobo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.