Kikaguru
Mandhari
Kikaguru (pia huitwa Chikagulu) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakaguru. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaguru imehesabiwa kuwa watu 241,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaguru iko katika kundi la G10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikaguru kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaguru Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikaguru katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kki
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Beidelman, Thomas O[wen]. 1961. Hyena and rabbit: a Kaguru representation of matrilineal relations. Africa, 31 (1), pp 61–74.
- Last, Joseph T. 1886. Grammar of the Kagúru language, eastern equatorial Africa. London: Society for Promoting Christian Knowledge (SPCK). Pp 147.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaguru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |