Kikagayanen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikagayanen ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wakagayanen kwenye kisiwa cha Cagayan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikagayanen imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikagayanen iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikagayanen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.