Kikadai
Mandhari
Kikadai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakadai kwenye visiwa vya Sula, Taliabu na labda Mangole. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikadai imehesabiwa kuwa watu 350 tu. Wakadai wameanza kuacha lugha yao; kwa hiyo Kikadai iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Labda inaelewekana na Kitaliabu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikadai iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikadai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikadai Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikadai katika Glottolog
- lugha ya Kikadai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikadai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |