Kijwira-Pepesa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijwira-Pepesa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wajwira na Wapepesa. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kijwira-Pepesa imehesabiwa kuwa watu 18,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijwira-Pepesa iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijwira-Pepesa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.