Kijuǀ’hoan
Mandhari
Kijuǀ’hoan ni lugha ya Khoisan nchini Namibia na Botswana inayozungumzwa na Wajuǀ’hoan. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kijuǀ’hoan nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 28,600. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Botswana (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijuǀ’hoan kiko katika kundi la Kikx'a.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kijuǀ’hoan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijuǀ’hoan Archived 15 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijuǀ’hoan katika Glottolog
- lugha ya Kijuǀ’hoan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijuǀ’hoan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |