Kijirel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kijirel ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wajirel. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kijirel imehesabiwa kuwa watu 4830. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijirel iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijirel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.