Kijerung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijerung ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wajerung. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kijerung imehesabiwa kuwa watu 1760. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijerung iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijerung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.