Kijeh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijeh ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wajeh. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kijeh nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 15,200. Pia kuna wasemaji 10,600 nchini Laos (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijeh iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijeh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.