Kijavindo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijavindo ni krioli nchini Indonesia inayozungumzwa na watu wachache kwenye kisiwa cha Java. Kijavindo imetokea misamiati ya Kiholanzi pamoja na sarufi ya Kijava. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kijavindo imeaminika kuwa watu wachache mno, ni kama lugha imelala usingizi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijavindo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.