Kijarai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijarai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vietnam na Kamboja inayozungumzwa na Wajarai. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kijarai nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 242,000. Pia kuna wasemaji 20,800 nchini Kamboja (2008). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijarai iko katika kundi la Kichamiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijarai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.