Kijaitmatang
Mandhari
Kijaitmatang kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wajaitmatang katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kijaitmatang, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijaitmatang kiko katika kundi la Kiyuin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kijaitmatang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijaitmatang Archived 7 Novemba 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijaitmatang katika Glottolog
- lugha ya Kijaitmatang katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijaitmatang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |